Home

Who are we?

Ruvuma Orphans Association (ROA) is a Non-Profit Organization which its efficiency in its activities depends mostly on contributions from members, government, financial institutions, donors and other development stakeholders. We therefore ask for stakeholders to make their contributions in order for ROA to be able to implement effectively and efficiently its community livelihood planned activities.

Commitment

Integrity

Friendly Environment

Respect

Team work

Result Focused

Transparency

Volunteerism

Accountability

Quality

WE ARE CONNECTED

FROM OUR SOCIAL MEDIA

Join us and share
Cover for Ruvuma Orphans Association-ROA
268
Ruvuma Orphans Association-ROA

Ruvuma Orphans Association-ROA

Charity Organization

Michezo, muda wa kupumzika na Lishe bora viba umuhimu makubwa katika ukuaji, ustawi na Malezi ya mtoto kwa ujumla.Michezo; husaidia kukuza akili ya mtoto na hivyo kumfanyia awe mwepesi wa kujifunza, kupanua wifi wa kufikiri, kujenga misuli na kuijua dunia inayomzunguka.Muda wa kupumzika; tafiti zinaonyesha kuwa kulala Kuna jukumu kubwa katika kuunda Afya ya akili na kimwili ya mtoto, kukuza uwezo wa mtoto kujifunza, kuhifadhi aliyojifunza, kukuza pamoja na kudhibiti hisia zake.Lishe bora; husaidia kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya kimwili na kiakili ya mtoto, inashauriwa katika kila mlo wa mtoto shuleni ama nyumbani mtoto apate angalau tunda Moja pamoja na mboga za majani, lakini pia kuhakikisha mtoto anapata maji safi na salama ya kutosha ili kusaidia mchakato wa mmeng'enyo wa chakula."#Mtotokwanza#MtotoNiMalezi#pjtmmmam ... See MoreSee Less
View on Facebook

1 years ago

Ruvuma Orphans Association-ROA
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed leo Septemba Mosi, 2025 akiongoza kikao cha utekelezaji wa Mkataba wa lishe na Program Jumuishi ya Taifa ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) katika kipindi cha Julai - Juni 2025.Washiriki wa kikao hicho ni pamoja na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa, Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma, Wakurugenzi wa Halmashauri, wataalamu mbalimbali pamoja na wadau wa masuala ya Afya na Malezi ndani ya Mkoa wa Ruvuma.Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa PJT- MMMAM, Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Ruvuma Bi. Mariamu Juma amebainisha mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa program hiyo ikiwemo utoaji wa elimu ya Program Jumuishi ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya mtoto kwa wazazi kupitia vituo 9 vya huduma ya Compassion ndani ya Manispaa ya Songe, sambamba na kufanya ufuatiliaji na usimamizi shirikishi kwenye vituo vya kulelea watoto wadogo mchana kwenye Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma.Pia kufanyika kwa kikao cha wadau wa utekelezaji wa Afya za PJT-MMMAM pamoja na kutoa elimu kwa waandishi wa habari kama mabalozi juu ya Program hiyo.Tanzania ECD Network #malezinamakuzi ... See MoreSee Less
View on Facebook
Matukio katika picha:Jukwaa la mwaka la mashirika yasiyo ya kiserikali mkoa wa ruvuma (NaCoNGO) lililofanyika mapema leo tarehe 25.06.2025 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, mgeni rasmi akiwa ni Mhe. Mkuu wa Mkoa Kanali Ahmed Abbas Ahmed. Kauli mbiu katika jukwaa hilo kwa mwaka 2025 inasema "Tathimini ya miaka mitano ya mchango wa mashirika yasiyo ya kiserikali katika maendeleo ya Taifa ; mafanikio, changamoto na fursa". ROA ikiwa ni miongoni mwa mashirika hayo imeshiriki kikamilifu katika Jukwaa hilo ambalo limejadili mafanikio yatokanayo na uwepo wa mashirika yasiyo ya kiserikali ndani ya Mkoa katika kuisaidia Serikali kutekeleza Miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Jamii pamoja na kujadili changamoto zinazoyakumba mashirika hayo. ... See MoreSee Less
View on Facebook
Eid Mubarak! ... See MoreSee Less
View on Facebook
This error message is only visible to WordPress admins
Error: There is no connected account for the user 6810873752256260.

Our Partners